Gachagua ashambuliwa kwa kuisuta serikali ya Ruto

Naibu Rais Kithure Kindiki amemsuta aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa kudai kuwa atahakikisha Rais William Ruto hachaguliwi tena kwa muhula wa pili